Mkuu wa Wilaya ya Tabora leo amezindua mpango wa kufyatua matofali 177,000 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa 128 katika Manispaa ya Tabora kama sehemu ya kampeni ya Kuipaisha Kielimu Manispaa ya Tabora.
Mkuu wa Wilaya ya Tabora leo amezindua mpango wa kufyatua matofali 177,000 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa 128 katika Manispaa ya Tabora kama sehemu ya kampeni ya Kuipaisha Kielimu Manispaa ya Tabora.Katika mpango huo Mh Mkuu wa Wilaya kupitia harambee ya ujenzi ikiyofanyika mwezi February 2019 amenunua mashine nne za kufyatulia matofali kwa ajili ya ujenzi huo.Amewaomba wana Tabora kujitokeza kwa wingi katika kufanya mapinduzi ya elimu katika Manispaa ya Tabora




0 Comment: