WABABE WA SIMBA,YANGA, AZAM NA SINGIDA CAF NI IVIIIIIIIIIIIII

 


🚨 OFFICIAL — 
HATIMAYE droo ya Kombe la Shirikisho Afrika na Ligi ya Mabingwa itafanyika Julai 25, 2023 jijini Cairo. Azam FC na Singida wawakilishi Kombe la Shirikisho droo itaanza saa 8 mchana huku Simba na Yanag wakiwakilisha kwenye Ligi ya Mabingwa droo itakuwa saa 9.

0 Comment: