OPARESHENI NYAKUA!!! NYAKUA!!! ZIARA YA MK WA CCM W YA ILEMELA NA KAMATI YA SIASA YANYAKUA! MK WA ACT KATA YA BUZURUGA.

Leo Ziara ya Kamati ya Siasa ya Ccm Wilaya Ilemela Ikiongozwa na Mk wa Ccm Wilaya ya Ilemela
imeendelea Katika kata ya Buzuruga ikiwa ni Kata ya 16 Kutembelewa, pia Katika Kata ya Buzuruga Kamati ya Siasa ya Ccm Wilaya ya Ilemela imepokea Wanachama wa 18 kutoka Vyama vya Upinzani Wakiongozwa na Mk wa ACT WAZALENDO Ndg. Aseno Joshua na Mjumbe wa serikali ya Mtaa wa Nyambiti na Ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Mkoa wa CHADEMA Ester Mteke Wakiongea Baada ya Kukabidhi kadi za Vyama vyao kwa Mk wa Ccm Wilaya ya Ilemela wanachama hao Wamesema vyama vya Upinzani Vimepoteza Mwelekeo na Avina Agenda ndio Sababu Vimekuwa vikisusia Chaguzi za Marudio Avina cha Kusema kwa Wananchi kwa Kazi Nzuri inayofanywa na Mh, Rais Dr. John Pombe Magufuli. Pamoja na Mambo Mengine Kamati ya Siasa ya
Ccm Wilaya ya Ilemela imetembelea soko la Buzuruga ,Stand ya Buzuruga na Kituo cha Afya Buzuruga Wakiongea na Viongozi wa Ccm Wananchi na Wafanyabiashara wa Stand ya Buzuruga Wameipokea kwa Shangwe Ziara hii na kumpongeza Mh, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli kwa Kuwatetea Wanyonge na Kulinda Rasilimali za Nchi na Kuweka Nidhamu kwa Watumishi wa Umma na Kupambana na Madawa ya Kulevya ambayo yalikuwa Yanaua Nguvu Kazi ya Taifa na kuwaaribu Vijana Ususani kata ya Buzuruga ambao nao ni Waathirika wa Madawa hayo.
Akizungumza na Wanachama na viongozi wa Ccm kata ya Buzuruga Mk wa Ccm Wilaya ya Ilemela Ndg. Nelson Mesha amesema Ccm itaendelea kutawala Muda Mrefu katika Nchi hii kwa Sababu misingi ya Ccm inaanza na Shina Mpaka Taifa Lakini Vyama vya Upinzani ni Vyama vya Uchaguzi Mpaka Uchaguzi na Wala Awana ata Ofisi Maeneo Mengi Wanatembea na Vyama vyao Mfukoni hivyo Wananchi Wasiwachague tena Sababu toka Chadema wamechukua kata ya Buzuruga Diwani wake amekuwa anazalisha Migogoro na Kupinga kila kitu Hivyo kuzorotesha Maendeleo kata ya Buzuruga.
Ziara hii imeusambaratisha Upinzani Ilemela kwa Wenyeviti 7 wa Mitaa, Viongozi na Wanachama wa Upinzani 520.
Imetolewa:-
KATIBU WA SIASA NA UENEZI WA CCM WILAYA ILEMELA
DENIS KANKONO

0 Comment: