OPARESHENI NYAKUA!!! NYAKUA!!! ZIARA YA KAMATI YA SIASA YA CCM WILAYA YA ILEMELA NDANI YA KATA YA IBUNGILO WIMBI LA VIONGOZI NA WANACHAMA WA CHADEMA WAENDELEA KUAMIA CCM.

Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilemela kimeendelea Kuvuna Wanachama 79 wa Chadema na Viongozi Wao Wakiwemo Wajumbe wa Watatu Serikali ya Mtaa wa Kiloleli Kata ya Ibungilo!! Katika Mwendelezo wa Ziara Ya Kamati ya Siasa ya Ccm Wilaya ya Ilemela inayoongozwa na Mwenyekiti wa Ccm Wilaya ya Ilemela Ndg. Nelson Mesha Ambaye alipokelewa kwa Shangwe na Viongozi Pamoja na Wanachama wa Ccm Kata ya Ibungilo Kwao alipozaliwa na Kukabidhiwa Mkuki na Usinge ikiwa ni ishara ya Ushujaa na Baraka Kutoka kwa Wazee wa Kimila!! Akiongea kwa Niaba ya Wazee wa Kata ya ibungilo Mara Baada ya Kumkabidhi Vifaa Hivyo!! Mzee Dioniz Gabinza amesema Wao Kama Wazee Wamefarijika kwa kasi ya Maendeleo na Huduma kwa Wazee inayofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano Hivyo Wanamuomba Mwenyekiti wa Ccm wa Wilaya ya Ilemela awafakishie Salamu Zao kwa Mh, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli na Wazee Wako Pamoja nae Wataendelea lKumwombea kwa Mwenyezi Mungu Amzidishie Afya Njema.
Nae Comrade Mesha aliwashukuru Wazee hao Pamoja na Viongozi wa Ccm Kata ya Ibungilo na Kuwahakikishia Chama cha Mapinduzi Kitaendelea Kuwa Mtetezi wa Wanyonge na Kusimamia Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya 2015/2020 Ziara hii ya Kukagua Uhai wa Ccm Pamoja na Jumuia Zake inayofanywa na Kamati ya Siasa ya Ccm Wilaya ya Ilemela imekwisha Vuna Wanachama 492 Wenyeviti 7 wa Serikali za Mitaa wa Vyama vya Upinzani.
Pamoja na Mambo Mengine Mh, Diwani wa Kata ya Ibungilo Ndg. Yussuf Msoke Aliiongoza Kamati ya Siasa ya Ccm Wilaya ya Ilemela Kutembelea Miradi ya Ujenzi wa Barabara na Ujenzi wa Madarasa ya Secondary.
Nae Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilemela Ndg. Renatus Murunga ambae ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Ccm Wilaya ya Ilemela alisema atawaongoza Madiwani Wenzake ili Kuhakikisha ilani ya Ccm 2015/2020 inatekelezeka Pamoja na Kusimamia Miradi ya Maendeleo. Imetolewa na: KATIBU WA SIASA NA UENEZI WA CCM WILAYA YA ILEMELA.

0 Comment: